Mynamar

Matembezi katika kituo cha yatima cha monasteri

Katika tukio la kuadhimisha kusherekea miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh, kikundi cha marafiki kilitembelea kituo cha watoto yatima huko kusini mwa Okkalapa kuimba nyimbo na kusali na watoto.